GoodMaisha Begins: Personal Branding In Tanzania

GoodMaisha ni hatua yangu ya kwanza katika ujenzi wa sura yangu kamili  online( Online Personal Branding) nilioshughulikia mwaka 2014. Miaka mitatu iliyopita nilijiambia mwenyewe kwamba kabla ya kujiunga na chuo kikuu nitajenga utambulisho wangu binafsi. (Personal Branding). Niliweka miaka mitatu ya kuwa nimesha fanya hivyo. Kwani kazi hio si rahisi na nilijua  huwa siridhiki na kitu mpaka ni kamili (or at its best within a set of constraint) hivyo nilijipa mda wa kutosha. 😀

Hii ni Baada ya Kufahamu faida za Personal Brand Kama vile;

 

 • Mchakato huu huonyesha kwamba ni sawa kuwa wewe mwenyewe(Its okay to be you)
 • Hukuza kujiamini pale unapo endeleza bidhaa yako binafsi.
 • Kutangaza Utaalam Wako (Showcasing your speciality)

Kazi hii ilihusisha ujenzi wa vipengele vichache tofauti;

 

 • Utambulisho Binafsi (Personal Identity)
 • Utambulisho wa Kitaaluma (Professional Identity)
 • Rangi Tambuzi (Color palette)
 • Tovuti (Website)
 • Picha Ratibu (Coordinated image)

Hivyo, hii ni tovuti yangu mpya ( kipengele no.4). Nitaendelea kufafanua vipengele hivyo sita hapo juu katika baadhi ya posts ndani ya siku ifuatayo kutoa maelezo ya kina zaidi.

 

Advertisements

10 Replies to “GoodMaisha Begins: Personal Branding In Tanzania”

 1. Kweli AISEE! Jambo hili ni la msingi hapa bongo pia.. naona watu wachache are doing it such as millardayo.com so natumaini wabongo tutaamka pia na kuchangamkia fursa hii

  Like

 2. I’m not that much of a online reader to be honest but your blogs really nice, keep it up!
  I’ll go ahead and bookmark your website to come back down the road.

  Cheers

  Like

 3. I am really enjoying the theme/design of your website. Do you ever run into any
  web browser compatibility problems? A few of my blog readers have
  complained about my blog not operating correctly in Explorer but looks great in Chrome.
  Do you have any tips to help fix this problem?

  Like

 4. whoah this blog is fantastic i really like reading your posts.
  Keep up the great work! You already know, lots of individuals are searching around for this info, you can aid them greatly.

  Like

 5. I’ve learn several just right stuff here. Definitely value bookmarking for revisiting.

  I wonder how so much attempt you set to make this
  kind of excellent informative website.

  Like

 6. My brother suggested I might like this website. He was entirely right.

  This post actually made my day. You can not imagine simply
  how much time I had spent for this information! Thanks!

  Like

 7. Somebody necessarily lend a hand to make critically
  articles I’d state. That is the very first time I frequented your website
  page and up to now? I amazed with the research you
  made to create this actual submit amazing. Excellent process!

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s