GoodMaisha Begins: Personal Branding In Tanzania

GoodMaisha ni hatua yangu ya kwanza katika ujenzi wa sura yangu kamili  online( Online Personal Branding) nilioshughulikia mwaka 2014. Miaka mitatu iliyopita nilijiambia mwenyewe kwamba kabla ya kujiunga na chuo kikuu nitajenga utambulisho wangu binafsi. (Personal Branding). Niliweka miaka mitatu ya kuwa nimesha fanya hivyo. Kwani kazi hio si rahisi na nilijua  huwa siridhiki na kitu mpaka ni kamili (or at its best within a set of constraint) hivyo nilijipa mda wa kutosha. 😀

Continue reading “GoodMaisha Begins: Personal Branding In Tanzania”

Advertisements